Bomoa Bomoa Buguruni Yaogopa Kubomoa Ukuta wa Bakhresa,Huku Nyumba Nyingine Zikibomolewa Kama Kawa...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BAADA  ya wakazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam jana kuachwa na vilio wakati Kampuni ya Rasilimali za Shirika la Reli Tanzania (RAHCO) ilipoendeleza zoezi la kubomoa nyumba zilizokuwa katika eneo la hifadhi ya reli, moja wa wamiliki wa maeneo makubwa sehemu hiyo, Sali Said Bakhresa apewa siku kumi kuboa ukuta ambao umo katika eneo la Reli.

RAHCO iliendesha zoezi hilo ilikuwa ikibomoa nyumba zilizokuwa zimejengwa katika hifadhi ya reli ambayo ni mita 30 . Zaidi ya nyumba 250 zilibomolewa jana.

Akizungumza jana, Ofisa Uhusiano wa RAHCO, Catherine Moshi, alisema kuwa wakazi wa eneo hilo walipewa notisi ya kwanza Aprili mwaka jana wakitakiwa kuhama eneo hilo, lakini wakakumbushwa tena Julai mwaka huohuo.

Baada ya kuona kuna ambao hawajahama, walipewa tena notisi ya kuwakumbusha Februari mwaka huu kabla ya zoezi la kubomoa kuanza hapo jana
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad