Harmorapa Adai Tayari Anamiliki Nyumba Mikocheni Aliyonunuliwa na Uongozi Wake..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kumiliki mjengo kwa Dar sio mchezo mchezo lakini Harmorapa ni baba mwenye nyumba pia kwa sasa, walau kutokana na maneno yake mwenyewe.

Rapper huyo machachari amethibitisha kuwa kwa sasa anamiliki nyumba ambayo ipo maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam aliyonunuliwa na uongozi wake unaomsimamia.

“Yaah nimenunuliwa nyumba maeneo ya Mikocheni na bosi wangu Irene Sabuka. Nyumba hiyo ipo fresh ina vyumba viwili na sitting room na bafu na kila kitu ambacho staa anastahili kumiliki. Menejimenti imeamua kufanya hivi ili niweze kuwa kwenye nyumba ya hadhi ya staa kama mimi,” Harmo amekiambia kipindi cha Kubamba cha Times FM.

Kwa sasa rapper huyo anatamba na wimbo wake wa ‘Kiboko ya Mabishoo’ ambao amemshirikisha Juma Nature huku ndani yake akiwa amewaponda baadhi ya watu akiwemo Mose Iyobo na wengine
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Staa wakujipa kupenda kiki hata hauna maana

    ReplyDelete

Top Post Ad