Kimenukaa..Jacquline Wolper Afunguka Haya ya Aibu Juu ya Harmonize...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kwa mara ya kwanza tangu aachane na mpenzi wake, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ ameibuka na kusema amewaachia penzi wajuaji.

Wolper alisema kuwa baada ya kumwagana na Harmonize kwa sasa ameamua kujikita zaidi katika kufanya mambo yake ya kimaendeleo na mambo ya mapenzi na msanii huyo wa Bongo Fleva amewaachia wajuaji ambao anaamini walikuwa wakimtolea macho kitambo.

“Harmonize nimewaachia wajuaji wawe naye, nimeamua kuwa bize na mambo yangu ya maendeleo zaidi, suala la mapenzi nimeliweka pembeni kwanza,” alisema Wolper.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna lolote ulitaka buzi amekushtukia hakuna wa kukulea zee zimaaa

    ReplyDelete
  2. amo lapa Dili hilo....usilazie damu kiki hiyo kwa siku 60 na kolabo nje nje!!! CHANGAMKIA

    ReplyDelete

Top Post Ad