Kimenukaa..Tundu Lissu Aaanza Kulegeza Kamba kwa Rais Magufuli..Kwa Mara ya Kwanza Amsifia na Kumpongeza..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanasheria wa Chadema na rais wa TLS akiwa anahojiwa na radio Times FM akijibu ni jambo gani ambalo wanaweza kumpongeza rais Magufuli amedai yapo na TLS wameomba mwaliko wa rais ili wakampongeze.

Tundu Lissu amedai rais ametenda mengi na mengine ni mazuri na pia anastahili pole kwa kuwa kazi ya urais ni kazi ngumu, akisema alimuona jana alikuwa amechoka

Pia amewaambia wananchi kuwa wasiipe TLS nguvu kubwa kwakuwa TLS haisimamii mahakama wala haiteui majaji na hivyo sio wategemee kuwa kesi za uonevu , au kucheleweshwa kwa kesi ni jambo ambalo linaweza kutatuliwa na TLS pekee
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MNYONGE-MNYONGENI-HAKI-YAKE-MPENI

    ReplyDelete
  2. Heh! Tundu Lisu amsifie JPM!!!! HAIWEZEKANI, hata kama amefanya mazuri kiasi gani, sana sana sio kwa Tundu Lisu huyu.....sana sana atanyamaza, lakini sio kwa kumsifia au kumpongeza!! Watakuwa wamemlisha maneno, au leo ni tarehe moja April jamani!! Nasema HAIWEZEKANI kwa TUNDU...au ndio dalili za mwisho wa dunia...!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad