Kimenukaa..Vyombo vya Habari Nchini Vyaungana Kutoa Tamko Dhidi ya Makonda,Vyatangaza Kumfungia Kuonekana Kwenye Tv,Magazeti na Kusikika Redioni,Wampa Onyo Hilo Pia JPM...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jukwaa la Wahariri Tanzania limelaani kitendo kilichofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar na kutangaza atakayeshirikiana naye, *hawatarusha matangazo yake.*

"Utekelezaji agizo la kutokufanya kazi na RC Dar unaanza mara moja kwa vyombo vyote vya habari nchini, uamuzi huu waungwa mkono na UTPC"-TEF.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tehetehe...KUVUJA-KWA-PAKACHA-NAFUU-YA-MCHUKUZI.......afadhali apumue mtoto wa watu, maana mlizidi, kila-leo-Makonda, Makonda, hasa Tanzania Daima, hawakosi kumwandika, kila siku wanamweka front page .........inahuuuuuu babu!! ANGALAU-ATAKULA-NA-KULALA-KWA-RAHAZAKE

    ReplyDelete
  2. Sasa nyinyi Clouds mnajifanya 'masikini-jeuri' au mnafuata mkumbo tu?? Vipi kuhusu ule uwanja wa kuchezea ligi yenu ya 'ndondo-cup' unaosimamiwa na Mh. Makonda nao mmeususia ama nene......., au ile siku ya uzinduzi mtazima kamera na mike zenu! hahahah ukisikia stori ya popo kulikojolea jua, ndio hiiii.......

    ReplyDelete
  3. Hatishiwi mtu nyau hapa, maisha yalikuwepo kabla ya vyombo vya habari, kulikuwa na redio moja na gazeti moja tu, na bado watu tulipata taarifa....acheni hizo, hao ni marafiki wamegeukana na nyie mnalivalia njuga, au mmetumwa? Nani asiyejua kama Makonda anawalinzi wenye bunduki, kuongozana nao usiku imekuwa shida, mnampakazi eti 'kavamia'.....nani alipigwa?

    ReplyDelete
  4. Mnaita 'kuvamia' ili lionekane tukio kuuuuuuuubwa! Mnajua kuvamiwa nyie au mnasema tu, baada ya 'kuvamia' akamjeruhi nani? MSIYE MPENDA BADO YUPO YUPO SANA

    ReplyDelete

Top Post Ad