Mange Kimambi Amcharukia Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete Huko Instagram...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mzee wako alikuwa na busara, Ila huyu jamaa tulienae sasa? Yeye hajajua power yake ndo maana anaitumia vibaya..... .
.
Ila twende mbele turudi nyuma. Ridhwani wewe ulisumbuliwa sanaaaaa na maneno ya mitandaoni mpaka ukamuingiza babako chaka..... Na usiseme kwamba baba yako alimwachia Mungu. Hapana hakumwachia Mungu mwisho alichukua ushauri wako wa kipuuzi Na akatia saini sheria za mitandao ambayo leo Hii ndo huyu kichaaa anatumia kutufunga midomo.... Ridhwani unakumbuka jinsi wewe na January Makamba mlivyoteam up tweeter kuitetea sheria ya Mitandao?? I think pale ndo nilipokutema rasmi. I think nilikuposti wewe na January Na nikawachamba kisawasawa, wewe na January mlidhani sheria ya mitandao itawakinga Na vichambo vya mitandaoni hamkuangalia madhara makubwa ya ile sheria. Sasa oneni Leo mnavyotesa watanzania..... Na niliwaambia wewe Na January , niliwaambia hii sheria inaminya freedom of speech. Sio mimi to kila mtu aliwaambia Ila ndo ilikuwa enzi zile nchi yenu mlikuwa hamsikiiii la mtu.... Enzi zile wewe Na January ndo mahot cake wa mjini mnajifanya mnajua kila kitu, mnajifanya Miungu watu
.
.
Kwa hiyo Ridhwani unakuwa unaongea uwongo ukisema dingi alimwachia Mungu, Hapana dingi hakumwachia Mungu, Dingi alikusikiliza wewe na January Makamba Na akaamua kudo something about it like you asked him to Na akaisaini sheria ya Mitandao....
.
.
Kwa kiasi kikubwa mnoooo wewe umemuwezesha Magufuli kutufunga midomo kwenye mitandao...
.
.
Kwahiyo Riz we piga kimya tuicheze sote hiii ngoma ya mirembe mpaka 2020.....
Source Mange Page
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani huyu dada sijui kwa nini Magu hakumpa uBunge nafikiri anajuta mmmh kiboko ya uchafu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo Magu hanaga hizo,ana watoto na ndugu wasomi umeona wangapi wako madarakani?Na hicho cha kutopewa cheo au hata kulipwa,ndio maana Mange kawageuka.

      Delete
  2. Huyu m'bibi ameshakuwa chizi sasa, hana soko tena, baada ya kulimwa talaka, sasa anatafuta mabwana kinguvu .....mfyuuuuuuuuuuu MTU MZIMA HOVYOOOO

    ReplyDelete
  3. Mimi nilibahahatika kuzuru Nirembe nikakuta majina matatu likiee ka jitto ambae mpaka sasa alionekana kandokando lakini hajaripoti rasmi. Mnaweza kutusaidia ili ajr chukua nafasi yake halali

    ReplyDelete
  4. Mange anatatizo la akili,sio lazima aokote makopo ndio mjue ni kichaa.

    ReplyDelete
  5. Katukana serikali ya Magu kiasi kwamba anaogopa kukanyaga Tanzania,anachoombea chadema washike dola ili aweze kuja kama zamani.

    ReplyDelete
  6. Kwani serikali ni mungu,wao ni Nani mpaka wasikosolewe? Ukionekana unaikosoa serikali unabambikiziwa kesi, huyu dada@ mange ni kipaza sauti chetu,usifikiri yanatoka mdomoni kwake,watanzania wameona ni sehemu sahihi ya kufikisha Ujumbe wao kwa serikali.kaeni hivyo hivyo mkimwita chizi na majina yooote,hatuachi na hatutoacha mpaka serikali iache ujinga inaotufanyia.serikali ya chuki,visasi,dhuruma,mauaji,unyonyaji,wizi,walevi,ubinafsi,kujuana, ubabe na mengine yote machafu ptuuu,inachefua, na wanaoitetea na kumponda mange ukichunguza utakuta ndo walewale, wamepewa vibarua na ndugu zao ambao ni wakubwa, wanafaidika na serikali, baba, mama kaka,dada au ndugu fulani yupo serikalini na ndo mapapa wenyewe. Kaza but mange kimambi😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

    ReplyDelete

Top Post Ad