Nape - Nampeleka Makonda kwa Rais Magufuli...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa habari,sanaa,utamaduni na michezo Mhe Nape Nnauye amesema kuwa ataiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa tukio la kuvamiwa kwa kituo cha clouds media kwa Rais Magufuli.

Nape amesema hayo leo hii wakati alipokuwa akipokea ripoti hiyo ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na watu mbalimbali pamoja na wadau wa habari ambao walitaka kujua nini kitafuata mara baada ya tume aliyoiunda juzi kukamiliha kazi yake hapo jana.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuhusu kujiuzulu vepe

    ReplyDelete
  2. Jipelekeee mwenyewe kwanza!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Kesi ya nyani unaipeleka mahakamani na mtoaji hukumu ni tumbili wewe mlalamikaji unategemea hukumu yake itakuwa ni nini?Nafikiri jibu umeishalipata wewe mtoaji hii mada

    ReplyDelete

Top Post Ad