Kaumbukaa..Kamati ya Nape Yafichua Jinsi Makonda Alivyowatushia Kuwafunga na Kuwataja Kwenye Orodha ya Madawa ya Kulevya Watangazaji wa Shilawadu wa Clouds...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam,Paul Makonda amegundulika kuwa Aliwalazimisha na kuwatishia kuwafunga kifungo cha miezi sita jela watangazaji wa kipindi cha Shilawadu cha Clouds Tv.

Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es salaam,wakati ambapo kamati iliyoundwa kuchunguza sakata la mkuu huyo wa mkuo kuvamia kituo cha clouds media ilipokuwa inakabidhi ripoti yake kwa Waziri a habari ,sanaa,utamaduni na michezo Mhe Nape Nnauye.

Katika ripoti hiyo,kamati imebainisha kuwa Makonda Aliwasili clouds na moja kwa moja akaingia studio ambapo kipindi kilikuwa kinaendelea,ambapo aliwalazimisha wafanyakazi wa clouds paoja na watangazaji wa kipindi cha shilawadu kukirusha kipindi alichkuwa akikitaka.

Baada ya kujibiwa kuwa haiwezekani kufanya jambo hilo,makonda aliwatishia wafanyakazi wa clouds kuwa atawataja kwenye orodha ya wahusika wa madawa ya kulevya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi na nyinyi mtaacha kuandika habari za Makonda au nyie hayawahusu, najiuliza sijui mtaandika nini, maana Makonda ndio habari ya mjini kwa sasa

    ReplyDelete
  2. Maneno ya kichochezi tu.madawa.



    ReplyDelete

Top Post Ad