Nay wa Mitego 'Alivyomteka' AY....!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii Nay wa Mitego 'amemteka' msanii mkongwe wa bongo fleva AY 'Mzee wa Comercial' na kuibuka naye katika studio yake ya Free Nation jambo linalozua maswali kuwa huenda kuna kazi ya pamoja ambayo wawili hao wanafanya.

Nay amewaweka njia panda mashabiki na wapenzi wa muziki wake kwa kitendo cha kuweka picha katika mtandao ambayo inamuonesha msanii huyo akiwa ndani ya studio za Freenation pamoja na AY.
'With ma Big Bro AY Guess Wat'...#FreeNationRecords #MudaWetu. Ameandika Nay wa Mitego katika ukurasa wake.

Imekuwa ndiyo 'style' ya mjini siku hizi kwa baadhi ya wasanii wakitaka kufanya 'remix' na msanii mkubwa lazima utaona anaanza kuwa 'attention' mashabiki zake kwa kuweka picha mtandaoni ikiwa inawaonesha wakiwa studio hata wengine wakiwa karibu katika masuala ya kijamii ili mradi tu wananchi waongee kwa upande wao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad