Profesa Jay Aahidi Kuachia Kitu Kipya Jumatano Hii....!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapper mkongwe wa hip hop nchini Profesa Jay ameahidi kuachia wimbo wake mpya Jumatano hii.

Ni miezi saba imepita tangu rapper huyo alipoachia wimbo wake wa ‘Kazi Kazi’ ambao bado unazidi kufanya vizuri sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye redio na runinga. Kupitia mtandao wa Instagram, Jay ameahidi kuachia wimbo huo ikiwa ni audio pamoja na video.

“The Wait is Over….Jumatano Tar 15 March Naangusha MZIGO MPYA kwa watu wangu wa nguvu.#KIBABE (The ICON)🔥🔥🔥 Stay tuned on your favourite Radio and TV stations 🙏🙏🙏,” ameandika Profesa kwenye mtandao huo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad