Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wetu kipenzi, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, jana alifanya yale ambayo huwa anayapatia kweli kweli!! 

Kwa kutumia umahiri mkubwa kabisa, bila shaka aki-apply mbinu za kijeshi alizowahi kujifunza JKT, Mheshimiwa Magufuli aliingia bandarini kwa kushitukiza hali iliyowafanya watu wa pale wapigwe butwaa huku wengine mioyo yao ikipiga mkamba kwa sababu hawakutarajia kutokea Mheshimiwa huyo!!!

Mbinu hizi za kijeshi, na bila shaka zikichanganyika na mbinu za kijasusi; zilimwezesha Mheshimiwa Rais wetu aweze kukamata makontena kadhaa yaliyojaa dhahabu!!! 

Huku akionekana kujawa na uchungu kwa nchi yake, Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli alisema:
Kwa taarifa nilizonazo, nikizisema hapa mnaweza mkalia! Dhahabu iliyopo humu ndani! Kwa Mtanzania yeyote anayeipenda Tanzania... atalia! Kwa mali zilizomo humu...!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo Mkuu sis watu weusi, hatupendani, alafu tuna roho za korosho za kuto kumjali mwenzako, yaani mtu unajijali wewe tu, ndio maana umasikini haushi bara hili jeusi, umasikini. Unaendelea toka kizazi mpka kizazi, kwa roho mbaya zilivyoo wajaa, alafu kutwa kuimba ulaya ulaya. Wakati Kila kitu tunavyo tunashindwa lekebisha kwetu kukawa kama huko ulaya

    ReplyDelete
  2. Hongera rais kwa kazi nzuri, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!!

    ReplyDelete

Top Post Ad