AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwenyekiti wa chama CHAUMMA Mhe Hashim Rungwe yupo Kikangooni live anaongelea mambo mbalimbali.
Ningekuwa Rais jambo la kwanza ningehakikisha wananchi wote wanapata chakula, wanashiba kwanza mengine baadaye.
Ningefanya bei ya unga iwe shilingi 250, watoto shule wapate chakula, wapate uji, hawawezi kusoma na njaa.
"Chama Cha Mapinduzi hakina utamaduni wa kuwaheshimu watu wengine wenye uwezo ambao wanatoka vyama vingine.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kweli.sijaona akichagua watu vyama vingine wenye uwezo wa kazi. Yete ni ccm tu. Ni kama nchi ya ccm. Haoni wengine. Ndo maana wengi anaowachagua hawana sifa. Wenye difa wapo nje ya ccm hawaoni.uchaguzi wa viongozi uzingatie maslahi ya Taifa.
ReplyDelete