Uuwii...Umemsikia Jike Shupa..Eti Anadai Haogopi Ukimwi 'so' Haoni Shida Kubadili Wanaume Kama 'Chupi'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


HAMNAZO! Msanii muuza sura katika video za Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai haogopi Ukimwi kwa kuwa ni ugonjwa wa kawaida, ndiyo maana amekuwa akibadili wanaume ovyo bila wasiwasi.

Aliiambia safu ya Za Motomoto News kuwa wanaume wengi wamekuwa wakimtokea na kumhitaji kimapenzi, hivyo kutokana na uwingi wao, anajikuta akishindwa kuwakatalia wote hivyo kuwakubalia, pamoja na ukweli kuwa humpa fedha.

“Sioni shida kubadili wanaume kila siku maana wao wenyewe ndiyo wanaonitamani, siogopi Ukimwi maana kila mtu duniani ameathirika, huo ni ugonjwa wa kawaida kama mwingine, wanaume wanaonitamani ni wengi hivyo nashindwa kuwakataa,  naingia nao kwenye uhusiano siku mbili tatu tunaachana, nakuwa na mwingine,” alisema Jike Shupa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad