Askofu Aitaja Rushwa Kanisani..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Chediel Lwiza amesema wala rushwa ni sawa na wauaji.

Akihubiri jana wakati wa sikukuu ya Pasaka kwenye Kanisa la Azania Front, Lwiza alisema rushwa ni adui wa haki na inaweza kusababisha hadi vifo.

Alisema licha ya rushwa kuwepo tangu enzi za kifo cha Yesu Kristolakini madhara yake yamekuwa makubwa katika jamii hadi sasa.

Alisema baada ya Yesu Kristo kufufuka katika kaburi, walinzi walipewa rushwa ili wasiseme ukweli kuwa amefufuka bali waseme amechukuliwa na wanafunzi wake.

“Kwa hiyo viongozi waliwapa rushwa walinzi ili wasiseme ukweli na hivyo wakatoa taarifa za uongo, rushwa inapofusha macho,” alisema. 

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad