GWAJIMA Aingia Anga za Rais Magufuli..Anena Haya Kuhusu Ujenzi wa Reli ya Kisasa Nchini..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema amedhamiria kununu treni ya umeme  baada ya Rais John Magufuli kuonyesha dhamira ya kujenga reli  ya kisasa(standard gauge).

Gwajima ameyasema hayo jana katika ibada ya Jumapili  huku akimsifu Rais Magufuli kwa kuchukua hatua hiyo.

Alisema licha yeye ni mchungaji wa Taifa na anaamini ipo siku Dar es Salaam yote itakwenda kanisani kwake kusali.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. gwajima ..!!! Hii ni ndoto au ndiyo mwanzo wa kupoteza Network??!!!... INATISHA....!!!

    ReplyDelete
  2. Gwajima ..!!! Hii ni ndoto au ndiyo mwanzo wa kupoteza Network....!!!??? INATISHA....!!!

    ReplyDelete
  3. Gwajima ..!!! Hii ni ndoto au ndiyo mwanzo wa kupoteza Network....!!!??? INATISHA....!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad