HII Hapa Taarifa Mpya Kuhusu Hali ya Umeme Nchini Kutoka Tanesco..!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Shirika la umeme Tanzania TANESCO limesema kuwa utunzaji wa vyanzo vya maji vya mto ruaha mkuu ambavyo vinapatikana wilaya za Wanging’ombe na Makete mkoani Njombe unasaidia kuongeza Maji yanayohitajika katika ufuaji wa umeme kwenye mabwawa ya Mtera na Kidatu.

 Kaimu mkurugenzio mtendaji wa TANESCO Dr Tito  Mwinuka akiwa katika ziara ya kikosi kazi maalumu kilicho undwa Hivi karibuni na makamu wa raisi Samia Suluhu Hassani akiwa  mkoani Iringa kwaajili ya kutunza ikolojia ya mto Ruaha mkuu amesema kuwa Asilimia 41 ya umeme unaozalishwa hapa nchini unategemea maji na huwa ni bei nafuu.

Mwenyekiti wa kikosi hicho  kilichopangiawa kuzulu vyanzo vya maji vya mto Ruaha mkuu katika mkoa wa Njombe Katibu Tawala wa mkoa wa Njombe Jackson Ole Saitabau amesema lengo la kikosi hicho kuundwa ni kurudisha hali ya utiririshaji wa maji  katika mto ruaha mkuu.

Baadhi ya wananchi wilayani Wangingombe wanaotunza vyanzo mto Ruaha mkuu vya Mbukwa na Mtitafu vilivyoko katika vijiji vya Nyumbanitu, Igima na Mlevela wameeleza changamoto zinazowakabili katika kuhifandhi vyanzo hivyo pamoja na kutoa mapendekezo kwa serikali kusimamia sheria.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad