Huu Ndio Ukweli Jamani..Nimekubali Kwamba Magufuli Kapanyoosha Bandarini DSM..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muda mfupi sana uliopita nlikutana na jamaa mmoja yuko bandari, aliyonieleza ndio nimekubali kua Magu kapanyoosha sana bandarini. Pale bandari ndugu zangu wachaga walipageuza shamba la bibi, jamaa ananiambia kuwa enzi hizo ilikua inakuja meli nzima na inapita bila kulipiwa hata kumi, makontena ya magari, electronics n.k yalipitishwa kama makontena ya mtumba, kifupi kila mtu alikua anajipigia atakavyo. 

Jamaa alikua kitengo cha kawaida sana lkn ananiambia amejenga gorofa huko Bunju, anasema enzi hizo ilikua mtu kurejea nyumbani na laki tano kwa siku analalamika kua siku ilikua mbaya sana, kifupi huko ndiko bandari yetu ilikokua imefika, anasema hata kina Kipande wameshinda kesi maana walipokea vimemo kutoka nyumba adhim vyenye maagizo yakutoa makontena ya watu, tena wengine sasa wanajitolea sana Serikalini (wanatakatisha pesa). 

Ila sasa jamaa anasema huko bandari ni balaa, ukaguzi wake sio kawaida, na wanaokagua ni watu hawajulikani wanatoka wapi na ofisi gani, jamaa anaemiliki gorofa Bunju leo alipanda daladala, kawa mpole na mwenye nidhamu haswa, na anasema Magu kabana haswa..Kifupi nachukua nafasi kumpongeza Magu maana kwa ushuhuda huu ni kweli kafanya mengi ambayo wabaya wake hawapendi kuckia..

Komaa mzee tunyooshe mpaka maji tuyaite mma
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dah hii kweli kalii
    nimeipendaa aisee

    ReplyDelete
  2. Na sio huko pekee yake. Hata na huko TRA kulikuwa kunanuka kwa ufisadi, jilani yangu Hapa nae ni wa kawaida eti ni kalani tu kumbe nae ni mchaga na Elimu yake ni ya darasanla saba Looo!!!! Amesheheni majumba, na pembeni yake gorofa si mchezo, jamaniii, Mbona Magufuli twamuombea miaka alafu lela ulelaaa, Baba Mungu akulinde

    ReplyDelete
  3. Tena kwa kumalizia nilisahau, siku hizi anatembea kichwa kainamisha kutwa, na kuongea ongea pekee yake, baba Magu oyeeeee!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad