Rapa Chemical Afunguka Kuwa Yeye Ndio Qeen wa Hip Hop Bongo Nzima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Chemical amefunguka kuhusu wimbo wake mpya ‘Queen Of Dar es Salaam’. Rapper huyo mwenye swagga za hatari amesema ameamua kuchanganya verse mbili tofauti ikiwemo ya Profesa Jay na Sugu kwa pamoja kutokana na vitu hivyo waliviimba miaka mingi lakini mpaka leo bado vinatokea.
.
.

@chemical_tz ameongeza kuwa mbali na vyote alivyorap ndani ya wimbo huo lakini pia alitaka kuwafahamisha watu watambue kuwa ndani ya Bongo kuna Queen wa muziki wa hip hop ambaye ni Chemical.

Queen huyo wa Hip Hop Bongo amesisitiza kuwa kwenye wimbo huo hakuna msanii aliyemchana japo baadhi ya watu wameanza kufikiria hivyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad