AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Madame Flora (Flora Mbasha zamani), Jumapili ya wiki ijayo anatarajia kufunga ndoa na mume wake mtarajiwa Daudi Kusekwa katika bustani za hoteli ya Rock Beach jijini Mwanza.
Madame Flora ameliambia Swaggaz kuwa ndoa hiyo itaambatana na uzinduzi wa albamu yake mpya inayoitwa Wakati Wake pamoja na kitabu alichokipachika jina la Siri za Flora Mbasha.
“Ndoa itafungwa asubuhi na jioni kutakuwa na sherehe ya harusi, utambulisho wa albamu yangu mpya pamoja na kitabu, watu wote wanakaribishwa kadi zimebaki chache tu kutokana na idadi ya ambayo imepangwa na kamati,” alisema Flora.
Chanzo. Mtanzania
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Enter your comment...Ndoa alishafunga zmn kwa mujb wa maandiko itakuwa ni uzinzi tu!
ReplyDeletemimi sidhani kama ndo halisi ya kikiristo huwa inavunjika yeye aseme siyo mkristo lasvyo atakuwa anadanganya kuwa bwanabwana lakini hakuna ndoa yakikiristo inayo vunjika huwo ni uwongo
ReplyDeletemimi sidhani kama ndo halisi ya kikiristo huwa inavunjika yeye aseme siyo mkristo lasvyo atakuwa anadanganya kuwa bwanabwana lakini hakuna ndoa yakikiristo inayo vunjika huwo ni uwongo
ReplyDelete