UNATAKA Utajiri kwa Njia za Mkato..Soma Huu Hapa Unaweza Kukufaaa..Ukifuata Nji Hii Unahakikishiwa Utajiri Mkubwa Ndani ya Siku Saba Tu..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni aina mojawapo ya uchawi wa kupata utajiri ukiacha huu wa ; kuua ndugu ,kuwafanya wanafamilia ndondocha  Kuwekwa kidonda mwilini Kupewa masharti ya chakula nguo na magari nk nk 
Huu una mambo yake ya ajabu, unapewa dawa ambayo utamshirikisha mkeo tuu....ukishakunywa hiyo dawa unakufa na kuoza kabisa mpaka kutoa funza wengi

Sasa mkeo kazi yake kila siku itabidi awafagie hao funza na kuwaweka kwenye ndio kwa mpaka siku ya saba utakapofufuka..... utajiri wako utategemea na wingi wa funza watakaokusanywa kwa siku
Ukishamaliza siku Saba utafufuka na biashara zako zitaanza kuchanganya 

Onyo na tahadhari 

-hutakiwi kuwa na mwanamke mwingine 

-mkeo hapaswi kushtuka mara ya kwanza akiwaona funza utakufa moja kwa moja 

-so wewe wala mkeo mnapaswa kutoa siri hii kwa yeyote hata chini ya mtutu wa bunduki

-Ishu ya kufa wiki nzima na kuoza utaifanya kila biashara zinapoyumba

Kama bado unataka utajiri kwa njia za mkato fikiria mara mbili kabla hujamua
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad