Alichokisema Nikki wa Pili Baada ya Rais Magufuli Kupokea Ripoti ya Mchanga wa Madini Jana..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili, amendika ujumbe unaoandamana na harakati za Rais Dkt. John Magufuli za kupambana na wizi wa mchanga wa dhahabu ambao jana amepokea ripoti ya suala hilo.

Kupitia mtandao wa kijamii Nikki ameandika, ‘Watanzania wanaopewa dhamana, wasipoamua kuwa waadilifu, umaskini utaandika historia tukufu kwa Tanzania, alafu kuna uhusiano gani kati ya uwekezaji na ufisadi…. maana kila kasha, wizi mkubwa utamkuta mwekezaji na wakala wake wa kitanzania (wasomi, viongozi, wafanya biashara), yaani ni kama ule uchumi wa kikoloni manufaa ni kwa makampuni ya nje na kitabaka cha watanzania wachache.

“Nimpongeze mkuu wa nchi kwa kuamua kupambana na ufisadi huu, ila vita ya kuvunja mfumo wa kiuchumi wa kifisadi ni hatari, kina Lumumba, Nkruma, Sankara, huko Chile, Nikaragwa, Venezuela, haiti, Iran…. viongozi hawakupona, ni vita kuu. Mungu akusimamie,” ameandika Nikki.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nikk umesema vizuri sana. Ni vita ngumu sanaa. Tena ni kwa vile Tanzania ilishajitoa katika mifumo ya kufungwa na makabaila wa mikononi. la sivyo pangekuwa na longo longo nyingi za kumuhusu Raisi. Sisi wafrica ni watu wajinga sanaa ndio maana tunadhalaulika kila kona. Tumezoea kuwatajilisha wenzetu na kuliacha bara letu la africa likiwa hoi.Tukipewa vihela kidogo tu vya mifukoni tunaona ndio eti ujanja. kumbe nu ujinga. wala sio ajabu kuitwa watu wenye akili kidogo. 1Q ndogo. yote hii ni kwa sababu ya watu wachache wenye tamaa za kujilimbikizia wao

    ReplyDelete

Top Post Ad