Baada ya Star Tv Kurusha Mahojiano na Makonda..Gwajima Aibuka na Madudu Mapya Kuhusu Makonda na Mmiliki wa Star Tv..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada kuwa kimya kwa muda na kuacha kuzungumzia suala la Bashite, Mchungaji wa Kanisa la Ufufu na Uzima, Josephat Gwajima asema, “dude limewashwa”   na kwamba  anatarajia kuibua suala hilo tena.

Mchungaji huyo ambaye mapema Machi mwaka huu akiwa kwenye mahubiri kanisani kwake, alidai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatumia cheti cha kidato cha nne chenye jina la Daudi Albert Bushite.

Gwajima ambaye alitajwa kwenye orodha ya Makonda kuhusu sakata la dawa za kulevya, amesema atafufua aliyoyasema Makonda ‘Bashite’ wakati wa mahojiano kati yake na kituo cha televisheni cha Star tv yaliyofanywa Jumatatu.

Gwajima amesema, “ Dude limewashwa, nifafanua aliyoyasema Bashite,  nitaelezea uraia na mmiliki wa kituo cha tv alichokitumia Jumatatu, nitaeleza ukwepaji kodi wake na vyeti vya watangazaji wake na mishahara yao.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUNA JIPYA, ukimaliza star tv geukia TBC maana nao pia walifanya nae mahojiano.....hovyooo

    ReplyDelete

Top Post Ad