FUNDI Afa kwa Kuanguka Toka Ghorofa ya 16..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


FUNDI ujenzi wa ghorofa la MNF Square lililoko katikati ya jiji la Dar es Salaam, amefariki dunia papo hapo baada ya kuteleza kutoka ghorofa ya 16.

Watu walioshudia tukio hilo wamesema kuwa fundi huyo alianguka jana saa 10:00 alasiri katika ghorofa hilo wakati wakiendelea na kazi ya ujenzi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salumu Hamduni, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad