Imefichukaaa..Hii Hapa Sababu Kubwa Nyuma ya Pazia ka Nini Diamond Hakuhudhuria Mazishi ya Ivan Jana..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Diamond Platnumz kutangaza kwamba angehudhuria mazishi ya aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Ssemwanga, ameshindwa kuhudhuria mazishi hayo yanayofanyika jioni hii katika makaburi ya ukoo wa marehemu yaliyoko Kayunga, nchini Uganda.

Muimbaji huyo  weekend hii alishambuliwa na mashabiki wake katika mitandao ya kijamii kutokana na kitendo chake cha kufanya show nchini Kenya licha ya mama watoto wake, Zari kufiwa na mume wake huyo wa zamani.

Meneja wa msanii huyo, Sallam amedai Diamond ameshindwa kuhudhuria mazishi hayo kutokana na ratiba kuingiliana.

“Kwenye mazishi hatujahudhuria, ilikuwa twende leo alfajiri lakini sasa kumbe wao wametoka usiku kwenda kijijini. Kwa hiyo nadhani ratiba yetu imeingiliana maana na sisi tulitoka Nairobi jana jioni.” Sallam alikiambia kipindi cha U-heard cha Clouds FM.

Pia Sallam amekanusha taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba wameshindwa kuhudhuria mazishi hayo baada ya kuzuiwa airport kuingia nchini Uganga kutoka na ishu za usalama.

Alisema wao walitaka kuhudhuria mazishi hayo kwaajili ya mkupatia pole Zari  kwa kuwa huyo ndiye  mtu wao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ungekwenda ukaone cha moto waganda wana hasira kali na isitoshe zari kathubutu kunena kuwa yeye aliweza aka move on but mwenzake alishindwa je sababu ya kushindwa dada jiulize ni nini? ni kwa kuwa anakupenda sasa unpodai mali huoni haya sasa dimondi akae chonjo umeshaonyeshwa dalili zote kumbuka kuwa ivan alikuwa tajiri sio wa kuimba hee sasa dimondi ushara umeshapewa waganda wako macho mali ya Ivan ni ya watoto wake

    ReplyDelete
  2. je jiulize nini imemfanya zari kuzaa haraka na chibu hali ya kuwa ndio mwanzo wajuana. huyu mama achukua watoto ndio silaha ya kupora mali ya wanaume.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio kusema DOMO na nduguze nao wajiandae?? Kaazi kweli-kweli

      Delete

Top Post Ad