Jokate Afunguka Haya Baada ya Jarida la Forbes Kumtaja Kama Kijana Mwenye Mafanikio kwa Mwaka 2017..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jokate Mwegelo ameonyeshwa kufurahishwa baada ya kuchaguliwa na jarida la Forbes Africa la kuwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio katika sekta mbalimbali kwa mwaka 2017.

Mrembo huyo ameonyesha furaha hiyo katika mtandao wa Instagram, wakati alipoweka picha ya cover la jarida hilo na kuandika, “Looks whose on the cover of Forbes Africa with some other amazing young Africans doing amazing things to create wealth and transform our economies? God is so amazing. 🙏🏽😩❤️🤧.”

“Never underestimate your own strength. You were born for a purpose and are blessed with an ability to achieve it. Mpaka kieleweke 🙏🏽🙈😘,” ameongeza katika picha nyingine aliyoiweka katika mtandao huo.

Naye Lavie Makeup ni mrembo mwingine kutoka Tanzania aliyetajwa na jarida hilo pamoja na Jokate.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad