Kuna Ufisadi Kwenye T. Shirt Zilizotumika Wakati wa Baraza Kuu la CHADEMA Lililofanyika Dodoma..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nimepata habari kuwa kuna ufisadi mkubwa umefanyika ndani ya CHADEMA kwa kutumia fedha za ruzuku. Kwamba, T. Shirt moja iliyovaliwa wakati wa Kamati Kuu na Baraza Kuu la CHADEMA lililofanyika Doeoma hivi karibuni imetengenezwa kwa shilingi 120,000 na kwamba kila aliyevaa ametakiwa kulipa nusu ya bei na nusu nyingine kimegharamia chama.

Taarifa hizo zinasema kuwa baadhi ya wajumbe wamegoma kulipa gharama hizo kwa madai kuwa bei ni kubwa mnooooo! Inadaiwa pia kuwa wajumbe wengine waligoma kuzivaa ili wasiwe sehemu ya ufisadi huo.

Kama habari hizi ni za kweli basi kale kaugonjwa kalikokimbia CCM kametaga mayai CHADEMA

Chanzo JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad