AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mimi ninachoamini tu ni kwamba kwenye dunia hii wewe fanya wema tu hata ukifanyiwa uhuni basi ila utakuwa huru na mwenye furaha wakati wote. Mafanikio kwenye maisha ni kuwa na utu, kudhaminiwa na kuwadhamini wengine.Udhaifu wa mtu mwingine usikufanye nawe kuwa dhaifu.Unatakiwa kuwa imara na usifanye makosa kwa kuwa wengine wanafanya makosa.Fanya jambo ambalo linakuweka huru na kukupa furaha na hata kuwa na sababu ya kuendelea kuishi.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mungu atuhurumie sana
ReplyDelete