Lemutuz Afunguka ' Ni Haki ya Zari Kupigania Mali za Marehemu Ivan Don Mwanzo Mwisho'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

By @lemutuz_nation
With my Friend @zarithebosslady 2013 at that point and time tuliokuwa tunamfahamu kwa karibu hapa Bongo hatukuwa tunazidi hata 5 as opposed na sasa hivi ambapo almost kila mmoja anadai kumjua mpaka kutaka kumpangia maisha yake ....again MUNGU AMPE NGUVU KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA NA BABA WA WATOTO WAKE ....NOW Kinachoendelea sasa hivi in her life ni NONE OF OUR BUSINESS ila kwa vile ni Super Star na very much active member wa Instagram inatupa haki ya kusema something on kinachoendelea ...MY OPINION ni Zari ana haki zote za kupigania haki ya Watoto wake 3 wala haihitaji mjadala au Compromise she should fight all the way to the end kuhakikisha Urithi wa Watoto wake unapatikana hatakama ni kwenda Mahakamani ...naona wabongo wengi wanashindwa kutenganisha Chuki kwa Zari na haki za watoto ni vitu Viwili tofauti na it has nothing to do na Diamond ....infact at this point and time Diamond anatakiwa ampe Space Zari ya ku navigate future ya Watoto wake ...it does not matter Zari aliikuwa anaishi au haishi na marehemu ni Watoto wake ni haki yao kupewa jasho la Baba yao kwa hiari au kwa sheria...again it is none of our business but it is ok kutia neno Zari ni mama wa watoto 3 aliozaa na Marehemu ni haki yake kuwapigania watoto wake haki yao ....ZARI SHOULD FIGHT FOR THAT ALL THE WAY TO END ....NO COMPROMISE OR NEGOTIATIONS ..
.
.
JE KATIKA HILI.. LEMUTUZ KAONGEA POINT AU PUMBA??? .
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. you are so stupid nut mwanamke alimkimbia mume wake baba watoto wake na kumringishia mtoto mdogo ambae anamzaa ivan kapata alikuwa sio muongeaji lakini likuwa anaumia sana hadi kupata ugonjwa wa moyo leo wewe mjinga una sema nini ZARI ANA HAKI labda anahaki ya watoto wake na pia asipewe hao watoto wana babu na bibi zao

    ReplyDelete

Top Post Ad