Lissu Afyatuka Tena Bungeni Kuhusu Sakata la Mchanga wa Madinii..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema kuwa msimamo wake wa kupinga kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli cha kuzuia mchanga wa dhahabu kusafirishwa nje uko pale pale.

Ameyasema hayo  bungeni mjini Dodoma, ambapo amesema kuwa kuzuia mchanga huo wa dhahabu kusafirishwa kwenda nchi za nje kutaathiri uchumi kwani atakuwa ameenda kinyume na mikataba ya kimataifa.

“Rais Dkt. Magufuli amefanya kitendo ambacho ni kinyume na mikataba ya kimataifa, kwa hiyo hapa tutegemee hasara kubwa na kutengwa na jumuiya ya kimataifa,”amesema Lissu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna wa kumshangaa 'tundulisu' kwani ni hao-hao akina 'tundulisu' walomwita Lowasa fisadi, na ni hao-hao walomsifia Lowasa na kumpigia debe 'eti' awe Raisi wa TZ!! sasa hapo cha-ajabu nini kwa huyo 'tundulisu' hahahaha anataka uwakili apate kuwatetea wezi wenzake.....mtumzimahovyo

    ReplyDelete

Top Post Ad