AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ingawa wimbo huu hauna tofauti kubwa na Muziki sio wengi wameonyesha kuupenda na pia haujapata mtamzamo mkubwa kupitia YouTube.
Hata hivyo akizungumza kupitia kipindi cha 255 XXL cha Clouds FM, Darassa alisema kuwa mashabiki wake wamezoea Muziki zaidi kwa kuwa alikawia kuwachilia project mpya.
“Kitu ambacho kinatokea ni wimbo wa muziki umewakaa sana na kuusikiliza sana kwa namna moja au nyingine.”Aliendelea kusema kosa lao ni kumtegemea kuachia wimbo kama Muziki ambacho hangeweza kufanya kwani kila anapoachia nyimbo lazima iwe tofauti.
“Mimi mwenyewe nilikaa sana na huu wimbo na kuupima, nikaona kuwa ni project ambayo inafaa kufuata na ikawatosha. Kwa hiyo kwa watu kukaa na kutegemea kuwa uje wimbo kama “Muziki” hiko ndio kitu kinachorudisha sanaa yetu nyuma.”
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK