NINI Tafsiri ya Kushangiliwa Kwa Lowassa Msibani Arusha?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanajukwa naomba kuwajulisha kuwa na hata kwa wale waliokuwa uwanjani waliona kabisa kwa wakati tofauti tofauti lowassa kushangiliwa.

Baada ya viongozi wengine kuingoa uwanjani na baadae kufuata yeye, wananchi waliposikia Lowassa ndo anaingia kwa kwa sasa, uwanja ulifura kwa makofi na vigelegele,

Na Mara ya pili wakati wageni wote wakiwa tayari jukwaa kuu, wakiwemo mawaziri na makamu wa Rais, na utambulisho ulianza rasmi kwa wageni Waliohudhuria pamoja na viongozi wote lakini ilipofika muda wa utambulisho kwa Mh.Lowassa lilivotajwa jina lake tu watu wote uwanjani walishangilia na kupiga makofi hadi pale MC Alipokatisha na kuendelea na utambulisho wa wageni wengine.na kimya kiendelea tena
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad