AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Pamoja na nguvu ya kifedha waliyonayo Acacia Watanzania wakiungana tutashinda hii vita ya kiuchumi. Sasa, TLS kama kweli wanaitakia mema Tanzania waungane na kusimamia mabadiliko ya sheria ili kufuta vifungu vya kinyonyaji na kuhakikisha kila kinachovunwa kwenye ardhi ya Tanzania kinalipiwa kwa haki, na sio kutumia huu ujanja wa 'commercially viable'.
Ni wazo tu
By Hekima Kwanza
Je Mdau Unaonaje Hapo?
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wtz wanatakiwa wawe wazalendo kwa nchi yao. Nchi ya SA wakati wanafanya mabadiliko ya sheria za nchi yao mara baada ya siasa za ubaguzi walishilikisha raia wote kutoa maoni na wanasheria kuhusishwa na kipewa nafasi ya kitaaluma kupata namna ya kuandaa vipengere vya kisheria chini ya usimamizi wa wanasiasa waliokuwa na uchungu na nchi yao. Hakuna namna rushwa ingeweza kupata mwanya. Tz pia inawezekana.
ReplyDelete