TUNDA Aanika Kila Kitu Juu ya Mahusiano Yake Na Young D..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebasita ‘Tunda’ hivi karibuni ameibuka na kumkana aliyewahi kuwa mpenzi wake David Ganzi ‘Young D’ kuwa si mwanaume hasa aliyewahi kutamani kuwa naye huko nyuma na juu ya uhusiano wao ni jambo ambalo lilitokea tu.

Akichonga na Uwazi Showbiz, baada ya kuulizwa ni mwanaume gani alitamani kuwa naye Bongo huko nyuma na hakupata bahati ya kuwa naye, Tunda alisema hayupo maana mwanaume aliyetamani kuwa naye amekwisha kuwanaye lakini si Young D.

“Siwezi kulitaja jina lake wazi, lakini kiukweli mwanaume ambaye nilitamani sana kuwa naye tayari nilikwishakuwanaye na tukaachana lakini naweka wazi kuwa si Young D,” alimaliza Tunda.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. iv Tunda nae anaweza kutulia na mwanaume moja au masiara tu aya. motto anapenda ku kwich kwich kama kuku....

    ReplyDelete

Top Post Ad