Wastara afunguka kwa Uchungu Kuhusu Zari Kutukanwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wastara afunguka kwa Uchungu Kuhusu Zari Kutukanwa:

From @wastara84 - Ukimuona nyani kazeeka na bado anaishi ujue kakwepa mishale mingi saana mtanisamehe kwa masamiati huu
Lakini mim ni mama sijawahi kusahau uchungu wa mwana na wala sijamsahau aliyenifanya niitwe mama lakini usiniulize kwanin sipo na niliyezaa nae ni mambo binafsi sana sio lazima kila mtu ajue
Lakini akifa nitaenda na ikibidi kulia nitalia sababu alikuwa na bado atakuwa baba wa watoto wangu.....
Lakini why why why mtu atukanweee weee asemwee kipindi kibaya cha uchngu na mawazo kama hiki hivi jamani mnajua kufiwa kweli wenzangu mbona hili la zari kutukanwa limenishinda kabsa kuvumulia...
Mtazameni huyo mtoto mdogo kwenye pic anamtazama babaake kwenye pic aliyoishika huku akitabasam utafikiri anasema baba upo umeenda kutembea siku moja utaludi tuu
Pangine
Ajui hta maana kufa ailewi aelewi maskini
Acheni basi fikirieni machungu yenu mpate hata robo ya maumivu wanayopata viumbe hawa #kufaanapesaavifanani
Pole wafiwa @zarithebosslady
Mungu amlaze mahali pema ivan ameen
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hivi wale mashoga zake wa bongo hawajaenda hata kumpa pole. Aunt. Worper na Dida. si walikuwa wanajikomba na kumuonyesha Wema wako upande wa bossvuzi. mbona wameufyata!

    ReplyDelete
  2. wanafki wanaanza kujitokeza, anaetamba kamzalisha watoto 2, hajaenda kumzika mume mwenzie, na kilioni wanasema Ivan kazaa na Zari watoto 4. sijui tushike lipi.

    ReplyDelete
  3. si ungeenda wewe Wastara kumfariji. kama anatukwana bi masumbuko ujue kuna sababu. mashoga wa bongo wameuchuna lol.

    ReplyDelete

Top Post Ad