Wenger Alamba Mkataba Mpya Arsenal..Apewa Miaka Miwili ya Matumaini..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amekubalia kusaini mkataba wa miaka mwili wa kuendelea kuifundisha klabu hiyo kuendeleza utawala wake wa miaka 21 ndani ya Emirates.

Wenger na mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke walikutana Jumatatu kuzungumzia hatma yake na uamuzi huo ukacheleweshwa kutolewa na bodi leo Jumanne.

Arsenal imepanga kesho kumtangaza rasmini Mfaransa huyo kuendelea na jukumu lake.

Arsenal 'The Gunners' imemaliza katika nafasi ya tano msimu huu wa Ligi Kuu ikiwa ni mara ya kwanza tangu Wenger alipochukua jukumu la kuifundisha timu hiyo mwaka 1996.

Imemaliza ikiwa nyuma kwa pointi 18, kwa mabingwa Chelsea,  lakini ilifanikiwa kuifunga Blues mabao 2-1 katika fainali ya Kombe la FA iliyofanyika Wembley Jumamosi iliyopita.

Mkataba wa Wenger uliokuwa unamalizika mwisho wa msimu huu.

Wenger ameiongoza Gunners kutwaa mataji matatu ya Ligi Kuu England na makombe manne ya FA katika misimu yake tisa ya kwanza.

Msimu wa 2003-04, alikuwa kocha wa kwanza tangu 1888-89, kuiongoza timu kucheza msimu mzima bila ya kufungwa mchezo wowote.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad