ACT Wampongeza JPM, Wasema Amevunja Mwiko Siasa Tanzania..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Chama cha ACT-Wazalendo kimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kikieleza kuwa amevunja mwiko wa siasa za Tanzania baada ya kufanya teuzi kutoka katika vyama pinzani ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Samsoni Mwigamba wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, amesema kuwa kwa hatua hiyo aliyoonyesha Rais Magufuli, sasa ni wakati wa watanzania kuanza kuona kuwa taifa hili ni letu sote.

Aidha, Mwigamba amesema kuwa chama chao hakioni tatizo lolote kwa uteuzi wa aliyekuwa mwenyekiti wao, Anna Mghwira ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, huku akisisitiza kuwa ni jambo jema kwani ameteuliwa ili akawaatumikie wananchi.  Tazama hapa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad