Kuna Kuzaa Mtoto na Kuna Kuzaa Mtoto wa Kizungu – Harmonize

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Harmonize na Mpenzi wake wa Kizungu
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake.


Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za ujauzito wa mpenzi wake huyo ambaye ni raia wa Marekani.

Akiongea na 255 ya XXL ya Clouds FM Jumatano hii, Harmo amedai kuna asilimia kubwa mpenzi wake huyo kujifungua mtoto wa kizungu na sio mwenye rangi kama yake.

Ngoja nikwambie kitu kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu ni vitu viwili tofauti,” alisema Harmonize. “Naenda Marekani mara moja si unajua mke wangu anatakiwa kusarifi kaniambia kuna ishu tunaenda kufanya sasa mimba ikiwa kubwa atazuiliwa kupanda ndege,”

Muimbaji huyo ambaye aliachana na malkia wa filamu, Wolper, amekuwa mwenye furaha toa mpenzi wake huyo awe na mimba licha ya baadhi ya mashabiki katika mitandao ya kijamii kumtania kuwa amekuwa mshamba.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanawake wa kiafrika ni waongo wazungu wako sreit

    ReplyDelete

Top Post Ad