ESCROW: Serikali yazuia mali za Seth SINGH na Rugemalira

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari za kuaminika zilizotufikia ni kuwa serikali imezuia mali zote za Singh na Rugemarila . Mali zote zimewekwa chini ya ulinzi mkali na account za benki zimefungwa.

Pia imeelezwa orodha ya waliokwapua pesa za Escrow na kugawana imeongezeka wapo vigogo kutoka wizara ya fedha, taasis za dini, maaskofu, NGOs, na wataanza kuhojiwa kuanzia jumatatu ili nao wafikishwe mahakamani.

Imeelezwa kila aliyehusika atafikishwa mahakama bila kubagua wala kujali nafasi yake katika jamii.

Taarifa zaidi zinaeleza wanaotuhumiwa katika sakata hilo wanakaribia 30.

By Kiriba/JF

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe siyo akiiba mnyonge uswahilini shauri ya njaa akikamatwa apigwe mawe mpaka afe na akifanya wizi mkubwa kama huo anasifiwa mpaka kwenye vyombo vya habari na kuitwa "eti kigogo"au"Pedeshee" fulani

    ReplyDelete

Top Post Ad