AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hatimaye Serikali imepeleka kikosi cha JWTZ huko Pwani kudhibiti mauaji na kutafuta wauaji.
Kikosi hicho cha JWTZ kina wana jeshi wenye uzoefu mkubwa wa kivita na makomandoo kiasi.
Lengo kuu ni kuleta amani mkoa wa Pwani ktk maeneo hayo ambayo usalama wake umekuwa wa mashaka.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
JWTZ wangeingia huko kimya-kimya, wakawashtukiza, hao jamaa ni magaidi!
ReplyDelete