Mbunge Ally Kessywa CCM Anataka Mkapa na Kikwete Wanyongwe kwa Kuhusika na Mikataba Mibovu ya Madini..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge Ally Kessy bungeni jana alisema wote wanaohusika na kusaini mikataba ya madini ambayo ni ya kinyonyaji wanyongwe, aliungwa mkono na wabunge wengine wa CCM

Lipumba naye alisema mikataba hii ni Mkapa ndiye aliyesaini, Je Ally Kessy hajui kuwa Mkapa ndio muhisika wa hili hadi akataka anyongwe? na kama anajua ni kweli anataka rais mstaafu anyongwe? au Lipumba alikuwa anadanganya?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii mikataba ya madini yote ivunjwe tusaini mipya itakayo faidisha nchi

    ReplyDelete
  2. wakishanyongwa ndio hayo madini yatarudi?? hovyooooo

    ReplyDelete
  3. Bangi kweli siyo sigara nzuri ndiyo maana nilijitahidi mpaka nikaacha kuivuta sasa wakinyongwa ndiyo itakauwa poa kwa upande wako au vipi duh!Binadamu wengine wanajua kweli kuzingua

    ReplyDelete

Top Post Ad