Msigwa: Wawekezaji Wasiitwe Wezi, Waliwekeza Kisheria..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa amesema haipendezi kuwaita wawekezaji wa madini wezi kwani waliwekeza kwa kufuata sheria na taratibu zote.

Amesema mara zote Rais wa CCM hukabidhiwa ilani ya chama ambayo ina sera kwa ajili ya utekelezaji wa masuala mbalimbali yakiwamo madini.

"Mtuambie (CCM) Sera yenu ya madini ni ipi?" amesema Msigwa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahaha! Hatukushangai saaana, maana ndio huyo-huyo Msigwa alosema 'atakae-mpokea-Lowasa-apimwe-akili'.........wakampokea, na debe wakampigia tehetehe eti tusiwaite WEZI basi tuwaite WEVI

    ReplyDelete

Top Post Ad