Mwigizaji Ray Kigosi Aibua Tena Skendo ya Kujichubua Ngozi....Atoa Dongo Kwako

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa Filamu Bongo, Ray Kigosi ameendelea kusistiza kuwa weupe wake unatokana na kunywa maji mengi na kufanya mazoezi na si kujichubua kama wengi wanavyodhani.

Kupitia mtandao wa instagram Ray ameandika haya na kuweka hiyo picha hapo juu. “Kuna wakati mwingine ukikaa kimya unaweza ukaufanya uongo ukawa ukweli.. swali langu ni moja kwenu nyie mnaosema najichubua hivi ni kweli mnamjua mtu anayejichubua?,” amehoji Ray na kuendelea.

“Embu niangalieni vizuri mtapata jibu, tatizo letu sisi Watanzania tunapenda sana kuaminini uongo kuliko ukweli. Nilishawaambia ukitaka kuwa na ngozi yenye nuru kama yangu fanya sana mazoezi kunywa sana maji, hiyo ndio dawa mbona hata madoctor wanalijua ilo,” amemaliza kwa kuandika.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad