Rasmi ...Zari Aanika Kila Kitu Jinsi Ivan Alivyomfia Hospitalini..Aeleza A-Z Issue ya Ivan Kuuawa kwa Sumu..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Anasema hajapewa sumu bali alipata stroke BP ikapanda ikapelekea damu kumwagika kwenye ubongo.

Daktari akasema hawezi kurudia kama kawaida.
Madaktari walitaka kumfanyia operation ila presha ikawa 220 wakati normal BP ni 120.

Dokta alipoona hawezi kupona tena aliniita nije kumuaga na baada ya kumuaga saa 2 usiku nikapigiwa simu mgonjwa wako amekufa.

Watu wanasema kuna bifu kati yangu na familia ya Ivan ila sina bifu na familia ile.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bifu unayo ila unajifanya kuuchuna. ndo kama yale ya bi Sandra, ulijidai huna bifu nae

    ReplyDelete
  2. Familia ya Ivan walianza kukuchamba kabla ya mazishi. wacha unafiki Zari.

    ReplyDelete
  3. hatutaki kujua kapambane na famialia ya kina ivan umeshazoe uliempa mawazo baba qa watu hadi kufikiwa na uamauti ni wewe kufata vitoto vidogo kina diamond vichokora vya tandale uliona umepata wenzako wamemechoka ndio ukaachiwa na yeye babu jinga kaona kapata makini kilicho mpata ivan na yeye asuburie wote tamaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. jitathimini ndugu yangu acha ujinga wa kitu ambacho hukifahamu, na nafikiri wewe ndo chokoraa tena mjinga sana mnakalia majungu ambayo mwisho wa siku hayatakusaidia zaidi ya kuendelea kuwa finyu wa akiri. mtoto wa tandale anapiga hela wewe unaendekeza majungu, jipange kabla hapajambambazuka

      Delete
  4. ooh tandale ooh kumbe unajua kosoma ehhh hhhhhee

    ReplyDelete
  5. Tandale ni Tandale tuu, akipiga hela au la. wangapi wanapesa na huwasii hata kwenye radio. tutolee ulimbukeni umeona pesa ni kitu cha ajabu saana. mbona Ivan kaziacha na Bi masumbuko akajinadi et yeye ni mjane apewe urith. kasahau kama alishapanua kwa Tandale.

    ReplyDelete

Top Post Ad