CCM Yazidi Kuchanja Mbuga Dar: Walinzi Shirikishi Marufuku Kukamata Bodaboda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

CCM Yazidi Kuchanja Mbuga Dar: Walinzi Shirikishi Marufuku Kukamata Bodaboda
Bodaboda wa jijini Jana Walifanya maandamano ya amani kumpongeza Rais Magufuli kwa utendaji wake uliotukuka.
Maandamano hayo yalipokelewa na mkuu wa wilaya ya ilala, na katika salamu zake yeye pamoja na RTO wa ilala wamepiga marufuku walinzi shirikishi kukamata bodaboda na badala yake wamewataka wakakamate vibaka na wauza gongo.

Hali kadhalika mkuu wa wilaya ya kinondoni mh Hapi amemaliza mgogoro wa wakazi wa kunduchi machimbo ( mecco) uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 na kuanzia sasa wakazi hao wanaruhusiwa kuendeleza maeneo yao.

Hakika CCM inachanja mbuga wakati Ukawa wakijikongoja jijini Dar es Salaam! Ahsante.

Source ITV habari
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyinyi waandishi dielewi nsmna ya uanfishi wenu hata.Na CCM na raisi siwaelewi mienendo yao, kusufio na hawaeleweki.sheria zipo, nashangazwa na ninamshangaa raisi wa awamu ya tano asivyoeleweka na kuchanganya kauli ambazo kama mtu yeyote anaakili safi, na anajua sheria za nchi hii, na namna gani sheris zikazwe ili nchi iende sambamba, raisi Magufuli haeleweki na chama chake.kama sheria zimepanga sehemu za machinga za kufanyia kazi, bodaboda , ili mji uwe sslama na safi na iswe holela holela, raisi anaachia kisa, spendwe na apewe sifa tu, je watu inakuwaje mdimwrlewe. Au mnamwelewa kwa vipi na kumpigia makofi na kumdifu. Na anarudusu bipi maandsmano wakati polisi wameruhusiwa kuwapeleka mahakamani wapinzani wsnspofanya mikutano ys ndsni inayowahusu watanzania na maendeleo hivi watu mnajua kufikiri. Mnshangsidhwa na bodaboda, wauza mitumba sehemu zs mjini, anawaruhusu ili tu wampigie kura tena, hii holela holela ya mjinibadala ya kusafisha mji anachafua mji mnampigia makofi.hivi mnaakili safi.watu wamevamia maeneo ya wazi kwa kuwafurahidha tu wampigie kura tena amewaachia. Je waliobomolewa?.anasska kura kwa nguvu kupita ccm na kuvunja sheria za nchi mnamchekelea , kumpongeza, kumpigia makofi. Mbowe kangolewa dhsma la thamsni lililotengeneza green , nyinyi viongozi wa ccm na wsnanchi mnsompongeza mna nini?.hamuoni kunatatizo kubwa linspadua nchi kwa kumpigia makofi raidi mkijua wazi anachofanya hafuati dheria za nvhi na zinaleta mgongano?.lini watu weusi mtahitaji utawsla ssfi wenyekuguata sheria ili nchi ipate smani na usslama. Imepita miaka zaidi hamsiniya uhuru, elimu bado hatujaelimika bado. Itachukua nini watu weusi tuthamini elimu, dheria ili tuwe wastaarabu. Mmemdikia debe , Trump slichiema Afrika bado inamhitaji mkoloni aje awatawsle kwa nguvu. Anamaanisha hatujielewi hata. Aibu watanzania tuliochanganyikiwa. Jamani. Kwa nini hatuelimiki.tunakubsli kupumbazwa, kusudi tuvunje sheria, na kuruhusu viongozi wetu wstuvunjie heshima kusudi tu wazidivkuwa maraisi?.
    Naona aibu sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad