RIHANNA Awachanganya Mashabiki Wake..Muonekano Wake Huu Wawachukiza Wengi..Tetesi za Ujauzito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WANAMUZIKI, Robyn Rihanna Fenty ‘Rihanna’ anadaiwa kuwa mjamzito kutokana na muonekano wake kifuani, usoni, matendo na mavazi.
Kwa mujibu wa mtandao mmoja umedai kuwa, Rihanna anadaiwa kushika ujauzito wa mpenzi wake Bilionea Hassan Jameel ambapo ameongezeka uzito wa pound 50 (kilo 23) tofauti na kawaida.

Julai Julai 25, mwaka huu Rihanna alionesha vazi lake jekundu lililoonekana la hadhi kubwa ambalo lilipendwa na wanamitindo alipokuwa kwenye maonesho huko London ndipo maneno ya kuwa mjamzito yalipoanza kuvuma huku watu wakidai kuwa maziwa yake na uso uliojaa ndiyo unaoonesha kuwa ni mjamzito.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad