DIAMOND Ampeleka Zari Dubai...Waomboleza Kwa Staili ya Kipekee...Washabiki Watoa Mapovu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Zarithebosslady na Diamond Platinumz baada ya msiba wa mama yake Zari mama mkwe wa diamond kuisha hivi punde waamua kwenda kujiliwaza pande za dubai na kupost mavideoz online. watu wengi wameonyesha kutopenda kwa kuwa zari hajaomboleza vya kutosha msiba wa mama yake.


Je Mdau ni sawa kufanya mambo hayo hata ikiwa arobaini ya msiba haijafika?

TOA MAONI YAKO
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MBONA POUWA TU KILA MTU NA MAISHA YAKE!!!!MDAU IMEKAA VIZURI TU. HIYO NI STYLE YAO. HAYAKUHUSU!!!

    ReplyDelete
  2. hayatuhusu lakini kuambiana kuko na vile diamond ni kijana wa kiisalmu lazima ambiwe kwa hivo ni hiari yake kisikiliza na kuelekea nankufata na ni vike vile ni hiari kutokusukiliza lakini kuambiwa ni lazima je anayo yafanya ni sawa nikuwa na kuona ni kijana mwenye hisia na umekua but ibwas wrong feel so petty kwa wazazi wako na huyo bibi kizee alie kosa haya na wala vibaya haoni masikini roho yako kioo kina kucheka i am very sorry huku lelewa huna maadili hata chembe hata hao wazungu unaowaiga hawafanyi hivo mama mtu mzima mama wa watoto 5 ovyo

    ReplyDelete
  3. Diamond na yeye ajiandae, siku mama'ke atakapofariki 'kigodoro' lazima kihusike!

    ReplyDelete
  4. maskini mama mtu mzima najibabaisha ujana ni moshi ukienda haurudi bibi we kaa ujitulize rudi kwa mungu wako ulee watoto wako diamond hakufai huyu ni kinuka mto istoshe wewe unajifanya una akili nyingi mbn unashindwa na huyo mtoto mdogo dia sio saizi yako na ukae ukijua tu hakuna mtu mwinyi chuki wala wivu mobeto yuku ubavu wa kulia unajibabaisha tuu kina tifa watashare kama mama anavo share halafu wewe mbn kina diamond ni wengi tu unao kwa hivo bibi wachie wenyewe wa TZ na vitu vyao maskini yule baba ivan amekufa na donge la roho na uchungu kabisa wewe hufai bwana ni muuaji

    ReplyDelete

Top Post Ad