TOFAUTI Kubwa Kati ya Upande wa Maalim Seif na Pro. Lipumba Inayozua Mgogoro CUF

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tofauti kubwa kati ya upande wa Maalim na Lipumba ni kwamba hoja za akina Lipumba zinaegemea katiba na sheria wakati hoja za akina Maalim zinaengemea mantiki ya kisiasa na mtazamo wa kijamii.

Wote wapo sahihi lakini bahati mbaya au nzuri ni kwamba vyombo vya maamuzi huamua kwa mujibu wa katiba na sheria badala ya mantiki ya kisiasa na mtazamo wa jamii.

By Habib Mchange
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad