VIDEO: Mbowe aliamsha 'Dude' la Makenikia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Rais Magufuli aliunda kamati mbili..., ni jambo jambo jema kulinda rasimali za nchi, hata hivyo ulindaji huo hauhitaji kuwa na pupa na hasa baada ya TRA kuiandikia ACACIA mdai ya kodi yanayofikia kiwango cha shilingi Trilioni 425, Taarifa hizi zimesambazwa katika vyombo mbalimbali vya kimataifa, kutangazwa huku ni kwa misingi ya kejeli zaidi, ikihoji kuna uwezekano gani wa kampuni kudaiwa kodi ambayo ni zaidi ya mara 10 ya bajeti ya Taifa husika?" Hayo ni sehemu ya manneo ya Mweneyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 31, 2017 Jijini Dar es salaam.

 TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii yote ni sababu ya Uhuru wa Kuongea, ongea lolote utakalo ilimradi usimtukane matusi ya nguoni

    ReplyDelete
  2. Mbowe, Kodi kuzidi bajeti ya Nchi yetu inaashiria jinsi nchi ilivyoibiwa na utajiri iliyonao. Unashangaza unapoona ubaya wa mwizi kutangazwa alichotuiibia, hivi unatetea maslahi ya nani hapo?

    ReplyDelete
  3. Kwa tamaa za Mbowe, hapo alipo roho inamuuma anatamani angekuwa yeye ndio amepiga hilo 'dili', kama alivyo piga dili kwa Lowasa, waTZ tunamjua Mbowe ni mkwepa'kodi mzuri tu, hatujasahau na wala usijisahaulishe hata wewe ulikwepa kodi, TRA wakakushtaki, hivyo si'ajabu kuwatetea 'wezi' wenzake.......hovyooo

    ReplyDelete
  4. Bwana Wala isiwe tabu ..!! Kama Upinzani ndiyo huu UTUMBO Basi na wasiwepo! Mie ntafunga hiki chama chetu na Ruzuku ntai'stopisha wote waingie kazini manake Sera za Kuda'ndia Magu kachukua zote na Kasafisha na Anaendelea . kwa hiyo TRA bado wanafatilia mengine kabla ya kutugeukia. Mbowe Huna lako Kijana mpaka Sera Pia Zimekwisha na Lizzu nakufunika ile vibaya kabisa. Shauri yako usije kusema Hatukukutahadharisha. HABARI NDIYO HIYO

    ReplyDelete

Top Post Ad