BREAKING NEWS: Tundu Lisu na LHRC Waungana Kupinga Kuvamiwa na Kulipuliwa Ofisi ya Mawakili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BREAKING NEWS: Tundu Lisu na LHRC Waungana Kupinga Kuvamiwa na Kulipuliwa Ofisi ya Mawakili
Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Tundu Lissu na Kituo cha Haki za Binadamu wameungana kwa pamoja katika kupinga kitendo cha kuvamiwa na kulipuliwa Ofisi za IMMMA Advocates.

Katika mkutano wa pamoja wamesema lengo ni kuonesha namna gani Sheria inatakiwa kuthaminiwa na kitendo kilichofanywa kinatakiwa kukemewa kwa nguvu zote
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao mawakili wasiishie kugoma hizo siku mbili tu, nadhani wangeacha kabisa na hiyo kazi ya uwakili, wakafanye kazi nyingine.....hovyo

    ReplyDelete
  2. Kwenye mambo 'ya-kisiasa' kama hayo ndio utawasikia hao wanaojiita haki za binadamu, lakini katika mambo muhimu ya kiserikali na ki'nchi huwasikii hata 'ku-kohoa', tumewastukia LHRC ni mkono wa pili wa chadema - MNAJISUMBUA, POLENI SANA

    ReplyDelete

Top Post Ad