Diamond, Msami, Jaguar ‘Walipuliwa’ na Ndikumana, Kisa ni Irene Uwoya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mume wa muigizaji wa filamu nchini Irene Uwoya, mchezaji Hamad Ndikumana kutoka nchini Rwanda amefunguka mambo kibao ya moyoni kuhusu ndoa yake na mrembo huyo ambapo kwa sasa ameweka wazi dhamira yake ya kumpa talaka.

Ndikumana ametumia mtandao wa Instagram kueleza madudu yote yalikuwa katika ndoa yake huku akiwataja wasanii maarufu kuingilia ndoa yake.

Unasema sina aibu kuandika hayo mitandaoni, wewe uliona aibu kuwa kwenye mahusiano na msami mnyaka miwili ukiwa ndani ya ndoa ? mara ngapi nilikuuliza kuhusu huyo mtu ukalala chini eti uongo ? Mara ngapi nilikuuliza kuhusu kulala na Diamond ukaapa kufa ? ila mwisho wa siku mwenyewe kasema kwanini ilifanya vile. Mimi kama mjinga nilikutetea sana tena baada yako kuwaambia magazeti eti nimezimia kitu ambacho sijawahi kukanusha ila leo nakikanusa sijawahi kuzimia maishani mwangu…

Irene unakumbuka nilikuwa nilivyokuwa taabaaani karibu kufa huku upo mozambike unatanua na Ababuu hata ujali nataka kufa ? Na uliporudi hata ukutaka kuniona,but sikushaanga kwavile nilikuwa najua wewe ndo uliyofanya yote.ulikuja Rwanda kuniona baada ya kuondoka siku mbili yakaja ya JAGUAR ?…

Hayo ni machache kati ya mengi mno aliyoandika Ndikumana, wawili hao walifunga ndoa mwaka 2009 wakati mchezaji huyo akicheza soka hapa nchini, katika ndoa yao wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume aitwae Krish.

By Peter Akaro/Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pesaaa. Hawa wadada wa mjini ni pesaaa. pesaaa ndio inaongea. ukitaka uonekane mume. ueshimike pesaaa baba, kwa wadada ea mjini mwanamume pesaa,uzuri hata mbuzi anao kwa hiyo kwa wadada wa mujini wanangalia pesaaaa. Ni hatarii kwa kweli mmmmh

    ReplyDelete

Top Post Ad